Nafasi za masomo kidato cha kwanza na cha tano


                             

Shule ya wasichana ya Mt. Yosefu Ngarenanro (St. Joseph Ngarenaro Girls' Secondary School) inatangaza nafasi za masomo kwa kidato cha kwanza na cha tano. Pia nafasi kwa wanaohamia zipo. Tunapokea wanafunzi kutoka dini zote.

Masomo yanayofundishwa:
Kidato cha kwanza hadi cha nne
Civics, Kiswahili, History, English, Geography, Biology, Chemistry, Physics, Mathematics, Bible Knowledge, Computer studies and Food and Nutrition.

Michepuo kwa kidato cha tano na sita
CBG, HGL, HKL, HGK and PCM



Mawasiliano:
St. Joseph Ngarenaro Secondary School
P.O. Box 8032,
ARUSHA - TANZANIA
PHONE: +255 754 913 926 


Pakua fomu ya maombi hapa.
First

2 comments

Write comments
Cosmas
AUTHOR
19 July 2017 at 10:44 delete

Tangazo limetufikia na tumeiona Shule ina mazingira mazuri ya kujifunzia ndani na nje ya darasani. Hongeri sana kwa kutuletea chuo cha malezi yenye misingi ya utu na usawa. Amina.

Reply
avatar
11 November 2017 at 00:47 delete

Shule yenu inapendwa zaidi, hongereni sana kwa malezi na Elimu mnayoitoa kwa vijana wetu wa kike.

Reply
avatar