Vipaji vyetu

Katika kukuza vipaji na vipawa vya wanafunzi. Shule imeweka utaratibu wa wanafunzi kuonesha vipaji mbalimbali. Katika muda ambao watoto hawako darasani hujihusisha na mambo ambayo yanasaidia kukuza vipaji vyao.
Previous
Next Post »